wakuu nahitaji msaada keyboard ya PC imemwagikiwa na chai ya moto na baadhi ya sehemu zimekuwa nzito kuzibonyeza je vipi naweza kuzirudisha katika hali ya kawaida.
ufafanuzi zaidindio unaweza
hapanaHivi siku hizi Keyboards zimefika Tsh Milioni 10 kwa Kuuzwa?
ya rangini chai ya rangi au ya maziwa?