Wadau wa Simcity Game, mwenye utundu wa kupata free coin!

Playboy

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,170
940
Haya wadau wa game la SIMCITY tuje hapa.

Mwenye utundu wa jinsi ya kupata free coin aiseeh aumwage hapa maana nina siku kama tatu hivi sina pesa na raia hazina umeme, maji hamna ,maji machafu yamezagaa ovyoo barabarani utazani jiji la bashite nisaidieni, Mie nacheza kwa lhone.
Screenshot_20170518-195448.png
 
Kama phone yako iko rooted ,install xposed installer, (Angalia youtube njinsi ya kuinstall xposed framework), kisha tumia xposed kuinstall module inayoitwa lucky patcher,,, Hiyo Lucky patcher ndio utaitumia ku_ hack hilo game ili kupata hizo cjuh tokens /coin,, Lucky patcher inatumika ku_hack android games specifically games zinazotumia google inapp purchase ,, angalia youtube videos kufanikisha zoeiz hilo
 
Note:--- Lucky patcher unaweza kudownload manually na kuinstall, kumbuka ku-I activate kwenye xposed,
 
Ndio tunafanyajee hapa
download Apk na mod yake then install apk hiyo lakini usilifungue game.
Tafuta application ya winrar playstore then install halafu ifungue hiyo winrar tafuta hyo zip folder ya hilo game mod liextract likikamilika nenda file manager tafuta folder liliokua extracted utalipata kwenye download files.
Ukifungua hilo file copy file utakalo likuta ndan, then rudi nyuma tafuta file linaitwa android linakuaga la kwanza kabisa, ukilifungua ndan utakuta file zingine fungua file linaloitwa obb paste humo.
close everthing halafu zima data yako fungua game cheza!..
 
Duuuh ngoja nijaribu
 
Back
Top Bottom