Namna ya kutengeneza WhatsApp link.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,388
24,947
Habari mkuu..

As stated above...

Nahitaji msaada kwa watalaam namna ya kuandaa link ambayo mtu anaweza kuifuata na hatimaye kujiunga na group moja kwa moja. ASANTE!
 
Habari mkuu..

As stated above...

Nahitaji msaada kwa watalaam namna ya kuandaa link ambayo mtu anaweza kuifuata na hatimaye kujiunga na group moja kwa moja. ASANTE!
kwanza lazma uwe admin wa hilo group kisha nenda kwenye
Post #6 hapo chini
 
Habari mkuu..

As stated above...

Nahitaji msaada kwa watalaam namna ya kuandaa link ambayo mtu anaweza kuifuata na hatimaye kujiunga na group moja kwa moja. ASANTE!
Kwanza yakupasa uwe admn wa group.

Baada ya hapo fungua hilo group unalotaka kutengeneza link.

Kisha angalia juu mkono wa kulia kuna alama inayoonesha uongeze mtu(add)

Bonyeza hyo alama,utaona majina ya whatsap yako yametokea kwa chini,na hapo juu utaona neno(invite to group via link)

Bonyeza hapo,kisha utapata option ya ku share hyo link. Basi utashare sehem unayotaka(kama ni whatsapp ama sehem ingine yoyote) tayal utakuwa ushatengeneza link ya group la whatsapp
 
Malizia mkuu nakufuatilia...
Ok tuendeleee
Ingia kwenye group kisha bofya alama ya kuadd participant kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini
70dd9cd917626ef8436ceb9be9b16790.jpg

Halaf bofya invite to group via link
9e7f161e2cfdbb31e0eed65179d8adf8.jpg

Then chagua njia yoyote unayotaka kutuma hiyo link
1da32e296674f1c530c2cd0cf83ec9b6.jpg
 
Back
Top Bottom