Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,851
Habari za wakati huu.
Nimekuwa nikipata story tu za huko dark/deep web kama kuna mtu yoyote mwenye ujuzi wa kuingia huko naomba anisaidie. Nataka nikashangae tu nothing serious.(nimejaribu ile app ya orion but nimeshindwa nimejaribu na duckduckgo vilevile nimeshindwa)
Naamini humu jukwaani kuna baadhi ya watu wameshawahi kuingia huko ....naomba na tips and stories za huko
Natanguliza shukrani
How to access the deep web( (secret Internet)