Ninaomba tutorial za autocad nijifunze
mkuu program za kudesgn zipo kibao japo nyngi ni ghali kuzinunua,ndo maana wengi wetu tunatumia Autocad na SolidworkKuna mtu ametumia master series na robot autodesk??
Kwa nnavyoona hizi ziko njema sana kwenye structural design kuliko hizo nyingine!!
Solid work sijawahi iona! Ni ya kudesign structures au mechanical/machine parts??mkuu program za kudesgn zipo kibao japo nyngi ni ghali kuzinunua,ndo maana wengi wetu tunatumia Autocad na Solidwork
zpo nyingi sana ingia youtubeNinaomba tutorial za autocad nijifunze
zpo nyingi sana ingia youtubeNinaomba tutorial za autocad nijifunze