AutoCAD

efrankmwandy

Member
Dec 1, 2016
93
50
Kwa unaejua kutumia software ya AutoCad au hujui kutumia ila unaijua ni nini karibu utuelezee applications za autocad software.
 
Applications za autoCad ni kwenye mambo yote yahusuyo michoro, ina applications nyingi mno mkuu kuanzia designing, engineering, architectural, surveying, mining na sehemu zingine nyingi tu, kuzitaja hapa naweza kuadhibiwa na mod kwa kujaza server.
 
ongezea kidogo mkuu aisee
 
kwa kifupi ni software application inayotumika kudraft models katika 2D au 3D kwa kutumia computer. unaweza kudraft nyumba au kufanya mpangilio wa kitu chochote ukipendacho
 
Back
Top Bottom