IMG001 VIRUS

chotarasukari

Senior Member
Jan 6, 2013
110
23
Habari wakuu. Poleni Kwa majukumu. Naomba Msaada kutoa aina hii ya Virus IMG001 Ananisumbua sana kwenye windows 7 PC na nimejaribu Kwa Avast n Smadav nimeshindwa nikasoma internet nikapewa maelezo ila bado sijafanikiwa sababu programs wanazo nielekeza nizakununua. Msaada Wataalamu...
 
Back
Top Bottom