Naomba mwenye OS ya Zorin Anisaidie

fofre

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
804
1,306
Habari zenu ndugu, Naomba mwenye OS ya Zorin Anisaidie, version yeyote ile..
 
Hapo nahitaji kuelimishwa kidogo unafanyaje na ni software gani zinazotumika?.
mkuu hio md5 ni kama fingerprint ya software, kila software ina md5 yake na haiwezekani software mbili tofauti zikawa na md5 moja.

software ya kuverify ni kama hii

WinMD5 Free - Windows MD5 Utility Freeware

itagenerate checksum yake then compare na iliowekwa online kwenye hio site, zikifanana ujue file halija corupt.

mfano wa md5 ni kama huu.

0c4627e70d168f7f78257e6dd01fdb60
 
Hiyo OS ya Zorin ikoje
ni clone ya windows ambayo imetengenezwa kwa linux, ni nyepesi sana na inaingia mpaka computer za kizamani zenye specs ndogo. ipo kama hivi.

270.png
 
Back
Top Bottom