Msaada nashindwa kulink kadi ya paypal aliexpress

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,612
4,713
Wakuu mwenzenu nikiingia aliexpress nikitaka kununua kitu kwenye payment method sioni paypal naona tu wananiambia niingize namba ya kadi yangu ya benki

Mara wananiletea alipay halafu wananiletea namba ya kadi plsss nisaidieni nifanyeje
Nataka kutumia paypal

Tatizo langu jingine ni kule ebay jamani nikiagiza bidhaa kwenye comfirm pale kujaza zile taarifa country wanaleta USA

Sasa inamaana mzigo unaandika post to US msaada plzzzz
 
Aliexpress hawana option ya kulipia paypal lazima ulipa kupitia hiyo alipay mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom