jifunze kutumia wordpress

sele255

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
205
262
Jipatie kitabu kwa tsh.3000(pdf),kitakachokupa muuongozo jinsi ya kutengeneza tovuti kwa kutumia wordpress .Baada ya kukisoma utaweza kutengeneza tovuti yako wewe mwenyewe bila ya kumlipa mtu akutengenezee.

mawasiliano.0765696086(whatApp)
 
Kimeandikwa kwa lugha gani mkuu.
 
Jipatie kitabu kwa tsh.3000(pdf),kitakachokupa muuongozo jinsi ya kutengeneza tovuti kwa kutumia wordpress .Baada ya kukisoma utaweza kutengeneza tovuti yako wewe mwenyewe bila ya kumlipa mtu akutengenezee.

mawasiliano.0765696086(whatApp)
Hiyo pdf naomba uitume hapa.

Wapo wengi wametufunza vingi hawajatutoza hela
 
yoyote atakaye nunua kitabu hiki ,atapata kitabu kingine bure kabisa kinachotoa mwongozo kuhusu blogging

WAHI OFA HII
 
Hiyo pdf naomba uitume hapa.

Wapo wengi wametufunza vingi hawajatutoza hela
Usisumbuke. Nenda FB tafuta kundi linaitwa UNIVERSITY COMPUTERS I.T STUDENTS utakutana na mkali anaitwa MASTER KEYS, ipitie utakutana na post ya kutengeneza Website na mambo kibao.
 
Imebidi watu waulize kuhusu lugha mapema si unajua tena?
ni kweli kabisa, ndo maana nikaandika kitabu kwa kiswahili yaani hadi aliyeishia darasa la saba anaweza kuelewa.Fursa ya pili kitabu kitakufanya uweze kutoa huduma ya web design kwa watu wengine ambapo inaweza kuwa njia ya kujiongezea kipato.Maana mimi binafsi nafanya web design
 
Back
Top Bottom