Tatizo la simu kujizima yenyewe

Raphael gadau

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,006
306
Simu yangu ni Huawei Y625 inatatizo la kujizima yenyewe wakati natumia inaandika betry high temperature hafu inajizima tatizo hili limeanza leo asubuhi

Naombeni msaada wenu nifanyeje kusitisha hili tatizo, nimeandka kiufupi maana inazima muda wowote
 
Shukuru haijazima moja kwa moja ndugu,it is just a matter of time kabla haijazima mazima,huwawei y 625 nlikuwa nayo nliinunua kwenye tigo shop,ilikuwa inaugua magonjwa mbali mbali hatimaye tar 1/1/017,ikafa rasmi,ushauri wa bure iflash then uza haraka hata kwa hasara,uliza wataalamu wa cm watakwambia majanga ya hizo cm..mm yangu ninayo now nauza kama screpar ntafute kama unahitaji betri na kioo chake
 
Kuna mdogo wangu anayo huwaei inasumbua sana, yaan ukiwasha tu inazima!kapeleka Kwa mafundi kuflashiwa kama wa4 mpk sasa mmojawapo wa mafundi akamwambia akaweke museum zaidi ya apo ataliwa pesa zake.
 
Mtu mwenye akili timamu na anaejitambua hawezi kununua Huawei au Tecno.......
 
Mkuu na mimi nina Tecno Y2 nimekaa nayo miezi 3 lakini tangu nimeinunua inajizima na kuiwasha mpaka uchomoe betri nakuirudishia ndio iwake.
Wenye simu hii wengi wanalalamikia tatizo hili
 
fanya ka utafiti kidogo kwanini inaheat, ni tatizo la hardware au ni software zinarun mda wote, kwa kuanza nenda setting then battery angalia app gani inakunywa sana hio chaji.
 
Back
Top Bottom