Naombeni msaada kwa simu yng samsung S4

Villky_J

JF-Expert Member
Mar 14, 2017
492
609
Habar wandugu, simu yng inatatizo hainipi notification ya kuonyesha kwamba charge inaingia, sio indicator ya LED light wala alama ile ya zigzag inaingia kimyakimya tatizo hilo limeanza asubuh hii ...nisaidieni tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom