TATIZO LA WIFI KWENYE LENOVO Thinkpad T420

TATIZO LA WIFI KWENYE LENOVO Thinkpad T420

Bney

Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
31
Reaction score
9
Habari za muda wapendwa kumputer yangu haidisplay option ya wifi hata ninapowasha wifi ila mwanzoni nilikuwa natumia kama kawaida wireless naomba msaada kwa wataalam.
 
Angalia kulia hapo kuna kabatan kadoogo utakuwa ume ki press off
Kiweke on.
fc0560e0c95a0ec45c78f40e6f0112b9.jpg
 
Back
Top Bottom