toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,607
- 4,769
Habari wajameni
Mimi nina shida kwenye paypal nikisign up nikiweka email na pasword nikashacomfirm nikiwa hatua ya kujaza information lazima izingue tu
Ninajaza vizuri tu nikibonyeza kitufe cha Join/accept terms and condition inagoma kinakua hakibonyezeki
Au najaza taarifa vizuri nikibonyeza kwenye accept inachora mstari mwekundu kwenye kisanduku cha mwaka wa kuzaliwa
Sijui nifanyeje wakuu
Najisajili kwenye website yao kupitia opera mini
Kwa ambao mmejisajili paypal siku za karibuni plzzz njooni mnisaidie au mnipe maujanja plsss
UPDATE
Hatimaye nimefanikiwa kujisajili paypal
Postal code nimetumia 00255
Street code nimegoogle zikaja nikajaza