MSAADA

MSAADA

msold msward

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
595
Reaction score
202
Nashida kuna mtu yupo Uganda anataka anitumie mzigo amesema nimpe address yangu na kitambulisho na maelezo yanayoweza thibisha kuhusu mm ili niweze pata uwo mzigo na mm sina vielelezo ivyo naomben mnisaidie
 
Fanya hivi ampe mzigo dereva wa Gari na amtoe pia ampe na namba za simu akifikia we unachek na dereva unaenda chukua mzigo wako
 
Tumefanya sana michezo hiyo Kampala coach na Scandnavia enzi hizo
 
Back
Top Bottom