cc12
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 1,018
- 395
Nilinunua Bundle la Smart la Mwez (elfu 20 unlimited) kwa Matumain kwamba nafanya Cost Reduction lakin Ndio Jipu kuliko inafungua website zote lakin si Facebook sasa Najiuliza ni kwamba Server za Facebook zimezidiwa au ni tatizo kwa wote?? Man inaload kulikoa kawaida....
NB; Nipo Arusha na Smart Inashika 3G bila shida kabsa
NB; Nipo Arusha na Smart Inashika 3G bila shida kabsa