Msaada: Wakuu nina simu ya Samsung S4 mini haisupport 3G wala 4G

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,733
2,687
Tatizo lake haisupport 3G wala 4G na network mode haipo kabisa kwenye mobile data , naombeni knowledge yenu wakuu .
2017_05_10_13.11.47.png
 
Kwenye access point name ifungue alafu add kwenye vidoti vitatu au option,
Kwenye Name= andika mtandao unaotumia kama "tigo" vodacom ect,
Kwenye APN= andika mfano mtandao unaotumia kisha ikifuatiwa na neno internet mfano "tigo internet"
Kisha save, utaona mtandao unafunguka.
 
Settings=>Wireless & Network => more => cellular network=> access point name=> add (+) => Name= (mtandao unaotumia eg, vodacom tigo etc.)=> APN=(mtandao unaotumia+internet)=> option=> save.
Done.
 
may be hii haitumii 3G ipo speacial kwa 4G and 2G naombeni msaada wenu namna ya kufanya simu isome 4G lte au lazima niwe na laini ya 4G LTE?
 
Back
Top Bottom