MSAADA:NAWEZAJE KULUDISHA INSTAGRAM HACKED ACOUNT

allan_joh

Member
Apr 20, 2017
11
10
habari wana jamvi!!
kuna acount ya mtu instagram imekua hacked,imebadilishwa email iliyotumika kufungulia acount(linked email) na password pia imebadilishwa,user name ndo halijabadilishwa..

msaada wenu tafadhari..
 
Back
Top Bottom