Habarin wakuu samahani kwa mtu mwenye screen ya brackbelly 9860 au fundi mwenye uwezo wa kuunganisha mkanda anisaidie maana imekatika mkanda
Natanguliza shukrani
Tutafutane in
0755161970
Wanna JF laptop yangu antivirus yake inaisha 19June2014 Je ni lazima nipeleka kwa wanaoweka hiyo antivirus au nikisha nunua toka katika duka la vifaa vya computer naweza weka mwenyeywe. Kama...
Habari ya jumapili wadau nina simu yangu Tecno j8,jambo linalonikela ni pale napoitaji kudownload apps zaidi inaniambia interna memory imejaha swali langu hakuna uwezekano wa kuzihamishia hizi...
Hivi inawezekana kutumia barua pepe zaidi ya simu moja (kushare) na isilete matatizo ya kifaa chako maana mm nimeshare barua pepe simu yangu imejilock (Samsung)
Watu wengi sana binafsi na makampuni wanatumia windows, iOS na androids kama operating systems zao kwa vifaa kama simu na computers...mataifa yalioendelea kwa usalama hawazitumii hizi bali wanakua...
Laptop yangu ya Hp ina tatizo kila kitype baadhi ya button kwenye keyboard kinacho display kwenye screen kingine mfano nikitype F inatokea FV. D inatokea DC. S inatokea SX, A inatokea AZ...
Wakuu wa Tech habari?? Hivi majuzi niliamua kuwa natumia website ya Learners TV kujifunza masomo mbali mbali n.k. tatizo kila nikitaka kufungua Video training yoyote nakutana na error#2035...
jaman naomba msaada wa hali na mali jinsi ya kuanloack moderm ya airtel model E173u-1 ili niweze kutumia katika mitandao yote yaani napata tabu sana naombeni msaada wenu
naomba kujua kuficha namba ya simu kwenye whatsap group ni. prpperty ya simu au whatsap application yenyewe kwenye setting.
kwenye kujua, naomba msaada wako.
asante sana
Hbr wakuu,
Naomba anaejua kutumia built-in satellite ya smart TV anisaidie na mie nifaidi teknolojia hii.
Natumia TV ya LG, hiyo feature IPO ila nashindwa kui set ifanye kazi
Utafiti umefanyika huko marekani na kubaini kua simu za android zina uwezo mzuri kuliko simu za Iphone.
Binafsi bado naamini Iphone ziko overrates tu ila hazina kipya kuliko sim za android.
Soma...
Wadau habari zenu.
Ni kwamba natumia Browser ya Opera katika PC yangu.
Lakini mara kwa mara ninabonyeza ukurasa fulani, Mfano Nipo ukurasa wa jamiiForums, nikijaribu kufungua Thread fulani...
Wakuu Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Nyumbani nimenunua flat TV ya 50" tangu ninunue matumizi ya umeme yameongezeka maradufu yaani unit 5-6 kila siku zimeongezeka kwenye matumizi. Tatizo nini...
Wanadai hii app yao iliyopo google play inaweza kuhack mawasiliano ya mtu. Ila ukisha install wanadai uingize namba unayotaka kufuatilia na kusema wamekamata mawasiliano yake. baada ya hapo...
Habar zenu wana jf,naomben Masaada wa maelekezo namna ya kuboost network coz huku ninakoish mtandao wa internet ni shida kidogo haipatikan hata 3G,lakn nikiwa seburen naipata 3G na inafuction...
ExtraTorrent with all mirrors goes offline.. We permanently erase all data.
Stay away from fake ExtraTorrent websites and clones.
Thx to all ET supporters and torrent community.
ET was a place to...
Jamani Naombeni msaada kwene hili.
Nataka kuscan document ila nataka kitumia ile program wanayotumia watu wa mitandao ya simu kusajili laini ambayo huwa tunasaini kwene screen ya simu.
Kama kuna...