Msaada ; Kutengeneza conversation fake

piompio

Member
Feb 25, 2017
98
44
Kwa ajili ya elimu tu naomba Msaada wa namna ya kutengeneza majadiliano/ conversation hasa ya whatsapp . kama kuna app au namna yoyote ile ya kufanya hivyo naomba Msaada

NAWASILISHA
 
Kwa ajili ya elimu tu naomba Msaada wa namna ya kutengeneza majadiliano/ conversation hasa ya whatsapp . kama kuna app au namna yoyote ile ya kufanya hivyo naomba Msaada

NAWASILISHA
Utatuletea shida tu, huna cha elimu wala lolote mkuu
 
Very easy,

Unakuwa na simu 2 au simu 1 yenye kusoport whatsapp #2, then unasave namba 1 kama jina (au namba kama unataka itokee 4n namba instead ya jina) la mtu A kwa unayetaka kumfoji na namba nyingine (mtu B), then unaanza kuwasiliana btn the two numbers kwa maongezi unayoyalenga!

hapo ww ndo unatengeneza taswira za maongezi,
 
Very easy,

Unasakuwa na simu 2 au simu 1 yenye kusoport whatsapp #2, then unasave namba 1 kama jina (au namba kama unataka itokee 4n namba instead ya jina) la mtu A kwa unayetaka kumfoji na namba nyingine (mtu B), then unaanza kuwasiliana btn the two numbers kwa maongezi unayoyalenga!

hapo ww ndo unatengeneza taswira za maongezi,
Mkuu nataka convo ya namba mbili tofauti yangu isihusike kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom