Tatizo earphone au simu? Msaada tafadhali

Y-Senior

Member
Feb 20, 2017
21
6
Nina simu yangu aina ya techno lakn nikinunua earphone znakufa mapema hata kabla ya mwezi so naulza sababu itakuw smu au earphone na kam ni earphone ninunue za aina gan?
 
Back
Top Bottom