Wapenzi wa whatsapp kwenye Computer

shatisuruali

JF-Expert Member
Jul 28, 2016
905
2,780
Kwa Wale mnaopenda kutumia whatsapp kwenye computer, wengi wenu mlikua mnatumia aidha whatsapp web, bluestack au emulator nyingine nyingine. Naona Jamaa wamewaletea application kabisa ya kuinstall katika Kompyuta zenu. Haizidi hata MB 100. Ila ni kwa Mac OS X 10.9 na zaidi Windows 8 na zaidi (64-bit version), Windows 8 na zaidi (32-bit version). Inapatikana Hapa Jaribuni kuitumia mtuletee mrejesho. Mie kimeo changu hakifiki hizo specifications.
 

Attachments

  • whatsap.PNG
    whatsap.PNG
    9.2 KB · Views: 63
Back
Top Bottom