Msaada

Yusuph Wernery

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
316
147
Nina pc angu aina ya hp imeniletea BOOTMGR missing, press cntrl +alt +del to restart. Lakin nimefanya hivo inarudia hivohvo. Tafadhali mwenye ufahamu anisaidie
 
kama n laptop issue itakuwa aidha ni hard disk au window imecorrupt hvyo check kwenye boot device
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom