Wataalamu mtujuze

Tish

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
310
250
Kuna ulazima wowote wa ku download na kutumia launcher kwenye android. Na kunafaida gani ukitumia.Je android inahitaji antivirus & cleaner app kama ndio faida yake nini na ni app gani zinafaa.Asante
 
SangaweJr

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
2,815
2,000
In short mimi naweza kukujibu HAPANA kwa maswali yote uliyo uliza.

Launcher: ni mbwembwe tu, japo zipo zenye faida ila sio lazima.

Anti virus: katika android ni useless.

Clean up App: nazo zipo zenye faida kulingana na features zilizo ktk hiyo app but most of them nazo ni kujaza space tu kwenye simu yako na utumiaji mkubwa wa RAM.
 
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri.
 
harder king

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
3,611
2,000
In short mimi naweza kukujibu HAPANA kwa maswali yote uliyo uliza.

Launcher: ni mbwembwe tu, japo zipo zenye faida ila sio lazima.

Anti virus: katika android ni useless.

Clean up App: nazo zipo zenye faida kulingana na features zilizo ktk hiyo app but most of them nazo ni kujaza space tu kwenye simu yako na utumiaji mkubwa wa RAM.
Nimshukuru mlita bandiko na ww uliejibu maana ata mm shajiulizaga sana juu ya hili maana kuna cm unakuta zina clean app cjui antvirus kumbe mbwembwe tu
 
Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,751
2,000
Kama unadownload sana apps kutoka sehemu nyingine tofauti na play store au umeroot simu then ni muhimu kua na antivirus, kama apps zako zote unatoa playstore basi usipoteze muda na antivirus.

Cleaner ni kujaza tu simu, haina faida yoyote ile, Android OS imetengenezwa vizuri sana kuhandle background apps, yaani app kama huitumii OS yenyewe ni smart enough kufree ile RAM au inaweka baadhi ya space kwenye disk, huna haja kabisa ya kua na cleaner, kama shida yako ni kuclean app fungua stack ya apps zinazorun uzifunge manually ni rahisi tu.

Launcher si lazima na yenyewe, ni kwa sababu ya urembo tu, hata sasa hivi tayari una launcher, ndicho kitu cha kwanza unaona simu yako ikishawaka kabisa, inaitwa launcher hiyo, sema ukitaka kuibadilisha ndo unaweza download nyingine unayotaka, kama unapenda uliyonayo then usipoteze muda, unajaza space tu.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,357
2,000
launcher kama huhitaji feature zake sio lazima ila kuna mambo mengi sana launcher inafanya ambayo ni muhimu, kama haya
1. uwezo wa kuficha application mtu mwengine asijue kama ipo kwenye simu yako (kwenye home screen)
2. kufanya simu iwe nyepesi (homescreen)
3. kubadili icons ukubwa na design
4. kuzi arrange apps unavyotaka wewe, kukuekea apps unazotumia sana mwanzoni, kueka kwenye mafolder na mipangilio mengine.
5. kupata mionekano tofauti, hasa mionekano ya version za mbele ambayo simu yako haiwezi kupata.

kwa simu zetu hizi za kichina launcher ni almost must have, mimi simu yangu haiwezi kosa nova launcher.
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,861
2,000
In short mimi naweza kukujibu HAPANA kwa maswali yote uliyo uliza.

Launcher: ni mbwembwe tu, japo zipo zenye faida ila sio lazima.

Anti virus: katika android ni useless.

Clean up App: nazo zipo zenye faida kulingana na features zilizo ktk hiyo app but most of them nazo ni kujaza space tu kwenye simu yako na utumiaji mkubwa wa RAM.
NAUNGA MKONO HOJA
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
5,320
2,000
In short mimi naweza kukujibu HAPANA kwa maswali yote uliyo uliza.

Launcher: ni mbwembwe tu, japo zipo zenye faida ila sio lazima.

Anti virus: katika android ni useless.

Clean up App: nazo zipo zenye faida kulingana na features zilizo ktk hiyo app but most of them nazo ni kujaza space tu kwenye simu yako na utumiaji mkubwa wa RAM.
antivirus kwenye simu inasababisha virus wawe wengi haina kazi na ndiyo chanzo kikubwa kwa smartphone ku corrupt
 
Tish

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
310
250
launcher kama huhitaji feature zake sio lazima ila kuna mambo mengi sana launcher inafanya ambayo ni muhimu, kama haya
1. uwezo wa kuficha application mtu mwengine asijue kama ipo kwenye simu yako (kwenye home screen)
2. kufanya simu iwe nyepesi (homescreen)
3. kubadili icons ukubwa na design
4. kuzi arrange apps unavyotaka wewe, kukuekea apps unazotumia sana mwanzoni, kueka kwenye mafolder na mipangilio mengine.
5. kupata mionekano tofauti, hasa mionekano ya version za mbele ambayo simu yako haiwezi kupata.

kwa simu zetu hizi za kichina launcher ni almost must have, mimi simu yangu haiwezi kosa nova launcher.
Nikweli chief hata Mimi natumia nova launcher iko vizuri sana

Chief ishu ya charge kwenye smartphone imekaaje cm yangu Niki factory data reset inakaa sana na charge lakini Niki download launcher yoyote au cleaner au antivirus charge inaisha kwa kasi tatizo nini
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,691
2,000
KWA MTAZAMO WANGU BUILT-IN APPS HUWA ZINAKUWA BORA ZAIDI KWA KIFAA CHAKO.LAUNCHER ZINGINE NI NZURI KWA SHOW TU ILA JE ZINA EFFECTS GANI KWA SIMU YAKO
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,357
2,000
Chief ishu ya charge kwenye smartphone imekaaje cm yangu Niki factory data reset inakaa sana na charge lakini Niki download launcher yoyote au cleaner au antivirus charge inaisha kwa kasi tatizo nini
sababu zenyewe zinakula sana charge, ukienda setting halafu battery kitu gani kinakula sana charge?

launcher umejaribu nova? na hizo ant virus na cleaners hazina maana kama walivyosema wadau hapo juu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom