Nokia zinatoka lini?

aisee hata mm nimesubiri mpaka najiuliza zilikua ni kiki tu au?
 
leo nimeona bora nikafanye window shopping pale kwa marafiki zangu mtaa wa aggrey baada ya kuisubiri nokia 6 kwa miezi 6, nimeziona simu nyingi mmbadala wa nokia 6 nimefanya test zangu ni original kabisa ila taatizo zingine ni used sasa naomba ushauri wenu wadau pls,vipi huawei P9 ambayo ni Tsh 850000/= nikitia humu badala ya nokia 6 au 7 itakuwa nimeingia chaka???
msaada wenu wakuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom