Phone number generator (PNG) - by bl4ckbo7

xpl0it

Senior Member
Feb 21, 2014
124
88

Phone Number Generator

Inagenerate namba za simu za mitandao Tigo, Airtel, Vodacom, TTCL, Halotel na Zantel.

Features:

1) Unaweza kuchagua mtandao unaoutaka ikugeneratie namba zake.

2) Unaweza kuchagua idadi ya namba utakazotaka ikugeneratie za mtandao huo unaoutaka.

Download hapa

Phone Number Generator
[EDITED]
 
J.f tech katika ubora wake...big up sana.....sasa wale vichwa panzi wenye comment za "sasa ya nini", "mbona kuna program nzuri zaidi ya hii", "jamaa amegoogle", "hii project ilishafanywa", n.k wekeni akiba ya maneno yenu ya kukatisha tamaa.
Big up sana kwa hio project na ingependeza uiambatanishe kwenye kwenye attachments kwa mfumo wa compressed archieve kwa server hizhi hizi za j.f ili iwe rahisi zaidi kuacces projekti yako na sie tuitumie ama tuiendeleze zaidi.
 
J.f tech katika ubora wake...big up sana.....sasa wale vichwa panzi wenye comment za "sasa ya nini", "mbona kuna program nzuri zaidi ya hii", "jamaa amegoogle", "hii project ilishafanywa", n.k wekeni akiba ya maneno yenu ya kukatisha tamaa.
Big up sana kwa hio project na ingependeza uiambatanishe kwenye attachments kwa mfumo wa compressed archieve ili iwe rahisi zaidi kuacces projekti yako na sie tuitumie ama tuiendeleze zaidi.
Nashukuru sana kaka! Wabongo hawaishiwi maneno mengi, na hata ukiwaambia waandike hata program ya output text kwenye screen wanashindwa. Yet ukiandika yako wanakuponda na majungu mengi.

Sawa kaka link ya project yangu hii hapa >> https://www.jamiiforums.com/attachments/phone-number-generator-zip.520055/

Kuna source-code humo na mafile mengine ya ziada pamoja na executable yenyewe.

Thanks! Karibu HackerHub | Forum Board
 
Ahsante kwa post yako. Lakin samahan naomba unieleweshe zaid. Cjaelewa. Samahan kwa usumbufu.
 
Vizuri sana mkuu.... big up lakini bado sijaelewa katika maelezo yako uliotoa, samahan kwa usumbufu hebu tufafanulie vizuri kuhusu iyo software inafanyaje kazi ani....
Alafu iyo link ya Mediafire uloweka ya kudownload haifanyi kazi....
 
Ahsante kwa post yako. Lakin samahan naomba unieleweshe zaid. Cjaelewa. Samahan kwa usumbufu.

Habari kaka! Samahani kwa kuchelewa kujibu maswali yenu, ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.

Kaka unaomba nikueleweshe wapi?
 
Vizuri sana mkuu.... big up lakini bado sijaelewa katika maelezo yako uliotoa, samahan kwa usumbufu hebu tufafanulie vizuri kuhusu iyo software inafanyaje kazi ani....
Alafu iyo link ya Mediafire uloweka ya kudownload haifanyi kazi....

Haifanyi kazi kwanini? Mbona ipo sahihi tu na inafungua project husika huku kwa upande wangu!

PNG ni program iliyotengenezwa purely kwa lugha ya C++, inakuwezesha wewe kutengeneza namba nyingi za mitandao ya simu uitakayo kwa haraka zaidi iwezekanavyo. Namba hizo zinazotengenezwa humo, baadhi inawezekana zipo hewani tayari, lakini baadhi bado hazijawa activated! Hivyo ni shauri yako ukitaka kutumia namba iliyokuwa generated na wakati ipo hewani inatumika na mtu fulani.

Namba hizi unaweza kuzitumia pale ambapo ni hutukati kutumia namba yako halisi. Yaani ku'spoof' your real number, lakini huduma hiyo unayotumia namba hizi kwayo isiweinataka verification au kutuma confirmation code sababu hutaipata kwa sasa na badala mpaka baadae nkifanikiwa kuweza kuzisort na kuzifanya ziweusable moja kwa moja na mtu mwingine.

Asante! Karibu HackerHub | Forum Board
 
Hizo number waweza tumia kuchezesha michezo ya bahati nasibu kama ile ya makampuni ya simu...

Yes bro! Ikiwemo na hiyo, app hiyo inakazi nyingi sanaa!! Nikukaa tu na kufikiria kutumia kwa namna gani na kwanini!

Asante sana kaka! Eti ile link niliyokupa hujaweza kuifungua? Yani hujapata project yangu mpaka sahivi?
 
Yeah inaleta error na ndio maana nliona ungetusaidia kwa kuiupload directly kwa swrver za jamiiforums endapo haizidi mb 50
 
Yeah inaleta error na ndio maana nliona ungetusaidia kwa kuiupload directly kwa swrver za jamiiforums endapo haizidi mb 50

Ahaa sawa basi.. ngoja naiupload sahivi...
 
Attachments

  • Phone Number Generator.zip
    411.1 KB · Views: 96
Back
Top Bottom