hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Biashara nyingi duniani zinaendesha kwa propaganda.
Kwa mfano Samsung s4 ukiisoma kwenye mtandao wanakuambia inakaa chaji masaa 17 kama unaongea na mtu.
Lakini tukija kwenye uhalisia hiyo simu hata kama haungei na mtu hiyo simu haiwezi kumaliza hata masaa 12.
Unakuja hii lg g3 kwa maelezo yao wao wanakuambia ile simu ikivunjika ile grasi ya juu tauchi itaendelea kufanya kazi lakini ukija kwenye uhalisia hicho kiti hakipo kwenye lg g3 ikivunjika imevunjika.
Tunakuja hizi simu wanazosema haziingii maji lakini ukija kwenye uhalisia zile simu nyingi wanadanganya unakuta mtu amenyeshewa na mvua kidogo tu harafu unakuta simu imezima.
Na tena napenda kuwashauri wale wanaotumia simu zenye waterproof wasije wakajaribu kuziweka kwenye maji waangalie kama maji hayataingia.
Hayo ni mache ktk yale mengi ambayo makampuni ya simu yanajitahidi kucheza na propaganda.
Ila kuna proganda nyingi ambazo wanakumbanaza mafundi simu upande wa software na hardware na huwa zinawaghalimu moja kwa moja.
Na hili ndio limenigusa zaidi na nikaamua kundika huu uzi.
Najua labda yupo fundi amewahi kufikiria kuandika hivi ila mafundi simu wengi tuko busy sana.
Na kikawaida mafundi simu wengi tatizo likitokea kama hizi simu original haraka sana lazima agoogle atafute solution.
ukizitumia solutin za google kichwa kichwa na lazima uumie kwasababu solution nyingi ni za uongo na ndio maana wengi wameishia kuzimisha simu za watu.
Mafundi simu wengi hasa wa hardware wanaamini wahindi ndio top kwenye solution.
Lakini leo nataka niwaletee hii video baada kuona mtiliko wa video nyingi ambazo watu wanadidisha prosesa kwa kutumia broa kama wanadilisha changing system.
na hizi solution usije ukajiribisha kwasababu haiwezekani mmc au prsosesa ukaibadilisha kwa kutumia broa.
Na sio kwamba nasema tu haiwezekani ila nimejaribu kufanyia utafiti.
Kwanza hiyo ic ukiitoa na broa lazima ife kwasababu simu nyingi original huwa wanaweka gundi kali sana na solder ware ngumu hasa samsung.
Kwa hizi broa zetu lazima uie hiy ic.
Na hata kama unaweza kubahatika kuitoa hiyo ic vizuri na ukaweka kwenye simu nyingine kama hiyo hiyo lazima ikatae kwasababu prosesa itakataa kutambua hiyo mmc.
Kwa hizi simu za kichina unaweza ukabadilisha mmc na simu ikafanya kazi kwa mfani zinazo tumia mmc kama hii
Lakini sio simu zinazo tumia mmc kama hii