Msaada simu ya tecno c8 haisomi 3g

mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
8,640
8,966
wakuu habari zenu naomba msaada wenu nina simu ya tecno c8 haisomi 3g ingawa eneo nililopo kuna 3g ya tigo na natumia line ya tigo nikitoka hapa nikaenda mjini inasoma 3g tatizo ni nini?simu zingine kama samsung sony huawei zinasoma 3g vizuri bila shida
cc CHIEF MKWAWA
 
Back
Top Bottom