Yusuph Wernery
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 316
- 147
Tafadhali mwenye msaada na jambo hili:
Kuna pc hapa hp (laptop) ilikuwa inaleta BOOTMGR missing, press cntrl +alt+del to restart. Lakin kila nikifanya hivo ilikuwa inajirudia BOOTMGR missing.
Baadae nikaizima, lakini nimewasha saiz hata haiwaki kama ilivyokuwa inawaka mwanzo ikionesha BOOTMGR missing.
Ila saizi nikiwasha inaonesha taa ya power(umeme) as if haina umeme ikiwa nilizima ikiwa na umeme.
Nimeunganisha power adapter hata haioneshi kuwa inachaji.
Plz msaada wenu wataalam.