Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wakuu natumia laptop aina ya hp elitebook 6930p os ni win 8.1 hivi majuzi laptop yangu imekuwa inagoma kuwaka kwa kupitia power button lakini ukibofya info button inawaka na inaonyesha message...
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Habari wakubwa game gani zuri la mpira ambalo sio la online pale napoitaji kulicheza
2 Reactions
224 Replies
72K Views
Tank Namba ngapi unadhani litakua la kwanza kujaa sio mbaya ukitoa na sababu
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari Wana JF Katika Kujifunza Awali Ya Java Programming Nimeipenda Sana Ila Nakabiliwa Na Mapungufu Wengi Sababu Nikakosa Tutor Ambaye Atanielekeza Vyema. Napata Shida Na Concept Muhimu Pia Na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajukwaa habari za muda huu. baada ya kuhangaika kwa muda na wezi wa kuku kwenye mabanda yangu, nikakutana na hiki kitu youtube. binafsi nafikiri kitakuwa cha msaada sana kama kitafanikiwa. vipi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu, Kwa wale wanaocheza pia hii game ya killshot bravo, natafuta alliance ya watanzania wenzangu kucompete against other players in the world
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau! PC yangu battery haipokei moto, yaan umeme ukikata na PC inazima utadhan desktop. Nashindwa kuelewa ni battery aw ni tatizo jengine tu tofauti. Kwa nnavofaham battery ikifa huwa kuna...
0 Reactions
9 Replies
908 Views
Mimi nina idea ya kile nataka kufanya ila sijui codes za kutengeneza app, so kama yupo mdau humu tukae nimpe idea tuone namna ya kufanya
0 Reactions
3 Replies
824 Views
Wandungu Ipi ni best kati ya note 4 Na j7 prime. Kwa wale wataalam wa simu msaada wenu tafadharii.
0 Reactions
1 Replies
901 Views
habari wadau natumia jelly bean version 4.2 ni rooted nataka ni upgrade kwenda version 4.4 kitkat ama v5 lollipop ama hata v6 mashamelow ikiwezelana msaada pls
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza inawezekana nikarekodi video screenyangu ya simu? namaanisha naangalia event live online kisha nairekodi wakati nikiwa naiangalia, inawezekana? na ni program gani au simu ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu wa jukwa hili natafuta spy camera naomba msaada wenu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naitaji kudownload movie ila sijui naanzaje! Msaada plzz. Nawasilisha..
1 Reactions
2 Replies
631 Views
Ningependa ku share game fulani nilikuwa nikitengeneza, japo bado haijakmilika nina mpango wa kuiendeleza with time. kwa wale ambao wanaona wanaweza kusaidia development nawakaribisha sana. Here...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Laptop yangu Dell XPS L502 X, Core i7 Inaniletea message kuwa Hard Disk (Toshiba) ina matatizo. Na imekuwa slow sana wakati wa kuiwasha na kuitumia. Ninatafuta technician ataerekebisha haya: -...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu ! external drive aina ya transend imekua very slow kucopy files, file la gb 1 inachukua karibia nusu saa kucopy...nimeformat ila bado tatizo ni hilo hilo ! Msaada tafadhali..
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Clean Chrome of Unwanted Ads, Pop-Ups, & Malware. If you're seeing some of these problems with Google Chrome, you might have unwanted software or malware installed on your computer: Pop-up ads...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Ni wazi kwamba kutumia https(ssl) kwenye website yako inakuwa ni vigumu sana kwa mtu kuweza kudukuu data baina yako wa watembeleaji wako kwenye website.. Ila Kuna Faida nyingi zaidi ya kutumia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi iphone kwanini zinauzwa bei kubwa sana huwezi linganisha na simu za android kipi utakacho kifanya kwenye simu ya Iphone kisicho kuwepo kwenye simu za androd kama ni mawasiliano yaleyale mm...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom