Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,377
- 8,075
sina na hela ya kulipia mwisho wa mwezi ila nataka chanel kwa tv yangu. je ni decorder gani naweza kutumia bila kulipia kila mwezi?
c
CHIEF MKWAWA
c
CHIEF MKWAWA
kama mdau alivyoshauri hapo nunua tv yenye king'amuzi ndani hutakuwa na haja ya kununua decoda mkuu, mimi natumia lg sina shida na receiversina na hela ya kulipia mwisho wa mwezi ila nataka chanel kwa tv yangu. je ni decorder gani naweza kutumia bila kulipia kila mwezi?
c
CHIEF MKWAWA
ndio mkuu inategemea dish lako limetegwa ktk satellite ipi maana inatumia dish pamoja na antenalg gan hiyo mkuu? na je local chanel zinashika?
Mwenzio wanamgeuzs ndemwaJaman naombeni kujua TV yenye king'amuzi ndani inakuwaje maana mm natumia sony haina huo mfumo?
kule nyuma inakuwa na matundu2 moja ni la antenna na la pili ni kwa ajili ya kufunga waya wa dishJaman naombeni kujua TV yenye king'amuzi ndani inakuwaje maana mm natumia sony haina huo mfumo?