Simu yangu Tecno P5 ina tatizo la kupandisha mnara

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
2,041
2,844
Habari wana jf
nina tatizo la simu yangu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo sema msaada tafazari
 
Hiki kichwa cha habar ukikisoma unaweza kuelewa kwa maana nyingine, yaan mnara uleee...

Anyway shida ni kwamba haipati mawasiliano kabisa... hata kama umeweka line?
 
Dah am za tekno n kawaida miaka miwili ndio am baada ya hapo linakua jini inafanya inavyotaka Mara baadh ya program hazifany kaz utaanza kuiristore factory frequently kaka Kwa p5 nakushaur nnua cm ingine maana nna ndugu yangu ana h6 anatumia kimajanga majanga Kwa vile tu hana hela ya kununua sm Mpya
 
Back
Top Bottom