Bluetooth(device) mzuri kwa matumizi

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,656
6,027
Habari wana JF
Nataka kununua bluetooth kwa ajili ya simu yangu.
So naomba kwa yeyote ambaye anaufahamu kuhusu hiki kifaa anifahamishe..
Aina ya bluetooth, > Imara.
> Yenye bei nafuu
> Mzuri

Nadhani waungwana mtanisaidia ktk hili.
 
Back
Top Bottom