Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari za jioni ndugu zangu,naomba tujuzane nikitaka kutambua simu original aina ya Samsung nifanyeje tafadhari nisije ingia mkenge
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu habari, Siku hizi kuna simu nyingi sana ambazo ni clone ya simu original, nyingi ikiwa ni za samsung... Juzi kati niliona moja ambayo ni ya samsung galaxy note 3, nilishangazwa kuona jinsi...
3 Reactions
69 Replies
20K Views
Walisoma itatoka Q2. Mbona hakuna updates?
0 Reactions
5 Replies
816 Views
Mbinu ya 'Mouseover' inategemea watumiaji (users) kuhover juu ya maandishi & picha zenye hyperlink, kwenye mafaili ya Microsoft PowerPoint ili kuingiza Trojan. Shambulio la Mouse Hover...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wana jf mwenye key za SQL DATABASE STUDIO anisaidie nimeinguia hapa nimekwama ndugu zangu SQL Database Studio - download
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Biashara nyingi duniani zinaendesha kwa propaganda. Kwa mfano Samsung s4 ukiisoma kwenye mtandao wanakuambia inakaa chaji masaa 17 kama unaongea na mtu. Lakini tukija kwenye uhalisia hiyo simu...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Phone Number Generator Inagenerate namba za simu za mitandao Tigo, Airtel, Vodacom, TTCL, Halotel na Zantel. Features: 1) Unaweza kuchagua mtandao unaoutaka ikugeneratie namba zake. 2) Unaweza...
3 Reactions
86 Replies
9K Views
Leo nilikuwa najaribu kutembelea baadhi ya tovuti za serikali na moja ya tovuti ambayo nilitembelea ni tovuti ya utumishi wa uma, nilichokutana nacho huwezi amini kama hii tovuti inamilikiwa na...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
JIPATIE KEYBOARDS NA ADAPTER ZA LAPTOP ZA KILA AINA.. KEYBOARDS............45000 TU ADAPTERS...............25000 TU PIGA SIMU NAMBA 075267766 AU PM
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Kuna ulazima wowote wa ku download na kutumia launcher kwenye android. Na kunafaida gani ukitumia.Je android inahitaji antivirus & cleaner app kama ndio faida yake nini na ni app gani zinafaa.Asante
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mamlaka za Japani zimeshikilia kijana wa miaka 14 Osaka, mji wenye bandari kubwa, kwa kutengeneza na kusambaza kirusi aina ya ransomware. Hii ni mara ya kwanza kwa Japani kukamata watuhumiwa...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Habar wanajukwaa Kuna bidhaa ya microsoft naihitaji kununua Wapi naweza kupata official seller wa microsoft nikiwa Tz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamii, kwa yeyote mwenye kujua namna ya ku activate window 10 msaada wenu tafadhari.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
wakuu habari zenu naomba msaada wenu nina simu ya tecno c8 haisomi 3g ingawa eneo nililopo kuna 3g ya tigo na natumia line ya tigo nikitoka hapa nikaenda mjini inasoma 3g tatizo ni nini?simu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali mwenye msaada na jambo hili: Kuna pc hapa hp (laptop) ilikuwa inaleta BOOTMGR missing, press cntrl +alt+del to restart. Lakin kila nikifanya hivo ilikuwa inajirudia BOOTMGR missing...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalam nisaidieni,nilikuwa natumia wireless connection ya internet kutoka simu yangu Tecno M3 kwa laptop yangu kwa kutumia WI-FI lakini nashangaa sasa hivi inanigomea.
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Habari wana JF Nataka kununua bluetooth kwa ajili ya simu yangu. So naomba kwa yeyote ambaye anaufahamu kuhusu hiki kifaa anifahamishe.. Aina ya bluetooth...
0 Reactions
2 Replies
825 Views
sina na hela ya kulipia mwisho wa mwezi ila nataka chanel kwa tv yangu. je ni decorder gani naweza kutumia bila kulipia kila mwezi? c CHIEF MKWAWA
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jf nina tatizo la simu yangu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo sema msaada tafazari
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wasalaam...Sijui kama kichwa changu cha Uzi kitakuwa kimeeleweka ila nilikuwa naomba msaada wa kuelekezwa Jinsi ya kutengeneza Kitu kama file ili nikiprint kiwe sawa sawa Yaani labda tuseme...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom