benzini na petrol

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,223
2,000
ni ipi kazi ya benzini au pertol kwenye sackit
Habari!
Lazima ujue circuit hurengenezwa kwa printed circuit board (PCB). Circuit nyingi za kisasa zipo double side yani ina njia na chips pande zote mbili.

Chips za circuit huwa zipo karibu karibu sana. Hivyo uchafu unaweza kukaa katikati ya chips na hatimaye huo uchafu ukipata unyevu husababisha short circuit na kufanya circuit isifanye kazi kwa usahihi.

Hivyo petrol au benzeni ni kimiminika kikali huwa kinaenda kuyeyusha uchafu wote na kuacha njia na chips zikiwa safi. Pia petrol na benzene ni kimiminika chepesi hivyo baada ya kusafisha hupotea kama mvuke(Vapour)

Circuit ikiwa safi hufanya kazi kwa ufanisi maana kunakua hakuna unnecessary resistance kama unavyojua uchafu husababisha ukinzani

Pia usafi wa circuit unawwzesha kujua tatizo (Fault) na pia inawezesha kung’oa na kuchomea chips kwa urahisi sana

Asante.
 

sheremaya

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
2,860
2,000
kuna simu ilizima ghafla fundi akaloweka sackit kwenye benzini kwa masaa ma3 baada ya kuitoa ikawaka.

asante kwa elimu mkuu
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
54,572
2,000
Hutumiwa kama solvent kurahisisha kupandua components ambazo zimegandishwa na wakati mwingine kusafisha uchafu sugu...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom