Msaada wa kuremove icloud kwenye iphone 5s

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,106
2,000
Habari mwenye ujuzi wa kuremove icloud katika iphone tafadhali hasa hasa iphone 5s..
Rudisha io simu uliko iba/nunua ili wakupe ID na password yake..... Au unaweza ukaiuza kama screpa kwa mafundi simu..... Otherwise wapatie tu watoto waichezee kama Toy.....

Kijana...iCloud ni kitu kingine kabsa mkuu... sio ka Yahoo au gmail account ya Google io kusema labda unaeza bypass simple simple tu....
 

Mussa waukweli.

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
535
500
Kama simu inatumika icloud inatoka vizuri tu karibu sana mkuu.

Kama hiyo iphone yako ina passcode na huzijui rudisha tu ulikoitoa lakini kama inatumika kama kutuma msg, call, icloud inatoka vizur tu bila shida.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom