Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wana jamvi naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kuanzisha APP ya wafanya biashara kama vile kupatana.com naomba kujua jinsi ya kuendesha hiyo app na pia naomba kujua ni faida gani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watafiti sasa wanaweza kuona jinsi gani ions zina ungana ndani ya Supercapacitors...na hii inamaanisha itabadili kabisa jinsi ya kuchaji vitu vya umeme. Ni miaka 200 sasa tangu betri ya kwanza...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Khalil Shreateh ni mtafiti wa ulizi wa mtandao, aligundua udhaifu wa security ya facebook mwaka 2013 na kudukua (Hack) account ya Zuckerberg na kupost kwenye timeline yake. Sikiliza anavyo simulia.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Msaada wa ku unlock Huawei E5573 wifi router
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari CS & IT,Nna modem ya AIRTEL nataka nitumie kwa LINE ZOTE(mitandao yote) ntumie njia gan? Msaada tafadhali, natangulza shukran!!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
siku ya Jumamosi 17-6-2017 Tutakuwa Mikadi beach Kigamboni tutatoa huduma ya ku unlock simu zinazotumia sim1 mtandao mmoja (Yaani za promosheni) kwa bei ya Tsh5000 tu, Pia tutatoa Lock Roter za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu nahitaji microsoft office 2007, kwa mwenye nayo tafadhali msaada
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu simu yangu mpya aina ya Tecno 342 ina niandikia Invalid sim kwa Laini ya tigo tu huku laini Zingine Zikikubali kama kawaida nini tatizo? Wakuu ni 349
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wanajamvi cm yang TECNO C8 inastack WhatsApp, inagoma kudelete groups chats even to delete group inagoma inaniandikia"unfortunately WhatsApp z not responding"WHAT SHULD I DO PLZ!!!
1 Reactions
8 Replies
819 Views
Hbr wana jamvi! Nataka ni upgrade video card ktk Pc yangu ya Dell Optiplex 790 i7 kwa ajili ya graphics hivyo basi naombeni ushauri wenu ni VIdeo card ipi ni nzuri lkn iwe ya VRAM 1GB ama 2GB...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Habari wadau! Natumia solar ya mjerumani walt 50 kwa zaidi ya mwaka, solar battery ya maji. Cha kushangaza solar hii sipati umeme usiku, nikitaka kuchaji simu yangu na za watoto wangu inabidi...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Mwenye kujua programme inayoweza kutuma email na attachmet kwa pamoja naomba anisaidie.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Watafiti sasa wanaweza kuona jinsi gani ions zina ungana ndani ya Supercapacitors...na hii inamaanisha itabadili kabisa jinsi ya kuchaji vitu vya umeme. Ni miaka 200 sasa tangu betri ya kwanza...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mtu nilimwachia kompyuta yangu aina ya lenovo kwa muda, lakini alikuwa afahamu matumizi vizuri akawa anawasha vizuri lakini kwenye kuzima kompyuta hiyo alikuwa anazima kwa kutumia sehemu ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
inakuja December itakua na uwezo wa kua na ram hadi 128gb na storage 2tb ssd ina 18cores na itatumia processa ya XEON....naiita monster.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za jion wana jf Naomba mwenye kujua nmna y kutengeneza mic y hii cm maana nkipiga simu kwa whassap or viber or imo nazungumza na mtu vizur n ananisikia ila tatizo linakuja nikipiga simu za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Simu hai install apps.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatua za kuanza kujifunza Computer Programming. Ndugu wasomaji, Watu wengi wanashindwa kujua waanzie wapi kuanza kujifunza programming au wanawezaje kuwa programmers wakisasa, hivo nafurahi...
15 Reactions
70 Replies
31K Views
Jamani kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kuendelea kutumia simu yangu Samsung Galaxy Note3 ilifungwa na tcra nasiki upo uwezekano wa kuifungua na kutumia tena
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Oya member naomba mniambie maujanja gani naweza kuyafanya katika simu yangu ikaonekana tofauti na ambavyo ilikuwepo ikiwa mpya? Maana naskia mtu unaweza kuifanya simu yako ambayo inasaport 3G...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Back
Top Bottom