Utapeli wa mtandao

Raphael gadau

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,008
1,500
Nimetapeliwa 17000 akidai anauza akaunti yake ya instagram
jamani naomba ushauri wenu ni mfanyeje huyu mtu namba zake ninazo nikimpigia anakata simu.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,357
2,000
mreport insta, hope na wengine wengi aliowaibia watamreport, akila ban kidogo machungu yatapungua.
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom