Msaada kuhusu PES kwny PC

Tsvangirai

Member
Mar 25, 2017
8
0
nimedownload game lake limeandikwa PTE Patch 2017 2.0
ndani kuna vipande vitatu msaaada jins ya installation
 
Hujadownload game ila umedownload patch la kwa ajili ya pes17.
 
Nataka PES 2008 kwa maana pc yangu haina uwezo mkubwa ni HP 2000
 
download pes 6 toka oceanofgames.com hilo ndio game la zamani linalotumiwa na watu wengi

then tafuta patch za karibuni, patch nzuri ni kama shollym patch
 
samahan wakuu kuna vitu vinanichanganya kama vile ukisema repack,patch au cpy naomben msaada jamani
 
-cpy jina la mtu/kampuni ambayo inatengeneza baadhi ya crack za magame,
-patch ni kama update au software nyengine ambayo inatolewa ili kuja kufix au kureplace baadhi ya mafile ya software ya mwanzo, mfano game lina crash kila unapolifungua mtengeneza game anaweza kutoa patch ili kutatua hilo tatizo
-repack ni mpangilio mpya wa file tofauti na ule uloekwa na mtengeneza hilo game, mfano mtu anaweza lichangua game lenye mafile 500 na gb 50 akatoa vitu visivyo na maana kama lugha ambazo sio kingereza, trailer nk kisha akali pack upya likawa gb 30 tu.
 
ubarikiwe pc yangu ni hp 8440 ram 4gb processor i5 na hdd 500 with intel inside fifa ipi au pes ipi naweza kucheza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom