Msaada

chibi

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
210
225
Habari wanatekinolojia
Naomba kufahamishwa namna ya kuondoa baadhi ya application ambazo zimekuja na simu (built in apps) mf facebook na zingine kwani naona zinachukua nafasi wakati sijawahi hata kuzitumia
Natumia simu aina ya samsung galaxy grand prime+
 

troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
14,761
2,000
Nairoot vp kwa simu aina hii mm sio mzoefu sana wa mambo ya teknolojia
Ingia google kisha search hili neno *kingroot apk* kisha download halafu inistall kwenye simu yako. Ukisha inistall ifungue kisha iruhusu kuroot itaesabu hadi asilimia mia halafu simu Itajireboot.

Samani siko vizuri kwenye kuelekeza.
 

chibi

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
210
225
Ingia google kisha search hili neno *kingroot apk* kisha download halafu inistall kwenye simu yako. Ukisha inistall ifungue kisha iruhusu kuroot itaesabu hadi asilimia mia halafu simu Itajireboot...
Vp mkuu kufanya hivo kuna vitu nitakuwa nimepoteza kwenye simu ambavyo nilisave huko au vitakuwa safe
Samani siko vizuri kwenye kuelekeza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom