Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,435
heshima kwenu wakuu ningependa tutumie uzi huu kuambiana game kali za pc ambazo zina support usb joystick as ina raha yake kutumia padi tofauti na keyboard:
1.pes 2013
2.fifa 2013
3.gi-game la mission
4-need for speed
kwa sasa nakumbuka hizo nikikumbuuka nyingine nitaziweka ahsanteni!,
1.pes 2013
2.fifa 2013
3.gi-game la mission
4-need for speed
kwa sasa nakumbuka hizo nikikumbuuka nyingine nitaziweka ahsanteni!,