Tatizo la screen rotation katika S4 galaxy i906

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Posts
7,812
Reaction score
5,526
Kama kichwa cha habri hii simu ikivunjika kioo(vyote viwili) na ikabadilishwa (sio vipya ).
Sasa ikawa ina matatizo mawili moja ukipigiwa inajiweka katika loud speaker na anaekupigia hakusikii (limesharekebishwa)la pili ni kwamba screen rotation huwezi ku activate japo icon ina onesha iko active.
Fundi chokira kajaribu kubadili sensor bila mafanikio sasa anasema ifanyiwe formating anahisi case sio hard ware ni soft ware. Na ukifanya test kwa *#0*# sehemu ya screen rotation hai respond nini tatizo wazee kabla mpiga ramli wqngu hajaiflash(note yeye ndie aliyebadilisha kioo!
 
ninachojua mm pia kuna simu yang nilibadili screen baada ya hapo ikawa screen rotation haifany kazi kwa hyo kubadili screen naamn ni tatzo na haliwez kuwa solved
 
Back
Top Bottom