uzi maalumu wa kumshauri mheshimiwa maghufuli kuingilia suala la paypal tanzania

computerkiddy

JF-Expert Member
Oct 1, 2015
481
1,000
wakuu heshima zenu
muda mwingi sana watanzania wamekuwa wakiihitaji kuingia katika soko la kimtandao dunia nzima but tatizo limekua ni kwamba option iliyopo ya online money transfer ni crdit card na yenyewe sio benki zote
western union clients wengi hawapend kutumia
wkishaona unatumia western union kwenye online business yako basi wanajua ni mpiga dili tu wanaachana na wewe

pay pal ndo big deal kwani unaweza receive mony and send money internationally and even using their paypal crdit card

tatizo lipo kwa bot wanashindwa kurekebisha system zao ili paypal waintergrate their API to bot systems

mheshimiwa maghufuli naomba atumimie madaraka yake kuwaforce bot walegeze mizengwe yao coz paypal ikisharuhusiwa hakuna atakaye anza kulalamika na ajira

mfano mzuri watengenza vinyago hawahita kukaa ofisin na kusubiria wateja waje walipe in cash

instead mtu anaweza uza vinyago kwa ebay dunia nzima in a fraction of seconds

kuna watu katika zilizoendelea wanapiga hadi dola 5000 kwa siku kwa kuuza online dunia nzima


kuna watu ni mafundi pc and electronics wanachukua used and demaged parts wanazerepair then wanaziuza online kama used devices

assume wewe ni fund computa unaingiza milion kumi kwa siku ukitokea bongo...thats crazy


kwa anayajua id ya maghufuli naomba amtag ili aone fursa tunazokosa watanzania

moderator aukeep stiky huu uzi ili matokea tuyaone ndani ya these couple of months
thanks in advance Moderator
 

Blessed Jr

Senior Member
Nov 17, 2016
135
250
Bado elimu juu ya Paypal inahitajika, wengi hawajui maana ya paypal na inafanyaje kazi. Nadhani tuanzie hapo kwa kutoa elimu kwanza, mawazo yangu
 

computerkiddy

JF-Expert Member
Oct 1, 2015
481
1,000
Bado elimu juu ya Paypal inahitajika, wengi hawajui maana ya paypal na inafanyaje kazi. Nadhani tuanzie hapo kwa kutoa elimu kwanza, mawazo yangu
elimu inahitajika but kwa sisi ambao tuna elimu tayari we just need the service na wengine watafata na kuiga mfano wetu

mr magufuli alivojenga trust kwa international community najua akiingilia kati tutapata huduma hiyo
 

hamfcb

JF-Expert Member
Dec 22, 2015
588
1,000
Bado elimu juu ya Paypal inahitajika, wengi hawajui maana ya paypal na inafanyaje kazi. Nadhani tuanzie hapo kwa kutoa elimu kwanza, mawazo yangu
haina haja ya kutoa elimu. paypal ni njia tu ya kufanya malipo ikishaanza kutumika ndio watu watajua faida yake na watajielimisha. ni sawa na tpesa/ M-PESA hakuna elimu iliotolewa lakini karibu kila mtu anaweza kuitumia sikuizi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom