Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu habari za leo. Ninaomba msaada kwa wataalamu wa haya mambo mliopo humu jamvini mnisadie kunfahamisha jinsi ya kuflash/unlock HSPA USB Stick (modem/mobile broadband) aina ZTE
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Hii ni smartphone ya Halotel ambayo nilinunua mwanzoni mwa mwezi wa 12/2015 mpaka leo naitumia uzuri ukiipiga charge ikawa full unaweza naenda nayo hadi 3 days huku ukitumia internet ndo battery...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari jaman Nna tatizo katika simu yangu yaani kila application nayoinstal inagoma inaniambia parsing error problem package ...nmefanya hadi factory resert still yaleyale nfanyeje jaman???
0 Reactions
3 Replies
794 Views
Nina tecno yangu L5 nilikuwa nimesahau pattern nikawa na reboot nikahold volume na power off batani saiz inaniandikia fastboot method ndo imeganda hapo hapo naitaji msaada tafadhali
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kuna iPhone 4s inazngua ukimpgia mtu akpokea humsikii na hata yeye hakusikii, ila cha ajabu nkitumia whatsApp call inaongea fresh tu na tunaskilizana' Kuna mtu alinambia tatzo...
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Naombeni mwenye ujuzi wa kutoa hizi pin lock za simy za tigo itumie laini zote. Simu ni tecno N8 6version
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Salaam zenu wana jf naomba mwenye utaalamu na uelewa wa faida na hasara katika utumiaji wa software inajulikana kama enterprise resources planning(ERP) kwenye matumizi ya biashara ndogo na za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam wadau... Nilinunua tablets online from somewhere ulimwenguni... Ina display safi, internal memory 16GB, main memory 1GB Problems 1) Ina load slows na ku crash often times pale unapo...
0 Reactions
2 Replies
764 Views
screen yangu imearibika ilianguka.. kubadilisha screen pamoja na matengenezo inaweza kuwa shilingi ngapi kwa anayejua?????
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Have you ever heard the terminology?..is there any sense you acquire when you come up on it ?? It is good whatever you do about it.LOGISTICS is applied in every day of our life,and good enough is...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NIMETAFUTA NAKUTA NYING MIYEYUSHO MWEENYE LINK YA KUELEWA MSAADA TUTANI adobe illustrator cs4
0 Reactions
2 Replies
623 Views
Amani kwenu! Natumia kisimbuzi cha StarTimes, hiki hakina channel ya Emmanuel TV. Nahitaji sana kuwa na hiyo channel. Nimesikia kuwa kuna watu wanaweza kuongeza channel kwenye kisimbuzi hiki cha...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Jamani naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kutengeneza android app(app) bila kutumia kompyuta, yaani kwa kutumia android yenyewe,mtandao,kwa apps.... Nk anisaidie plz
0 Reactions
20 Replies
8K Views
jaman naoomba kujua namna ya kufanya kwani jana jion nimeibiwa sim niliweka chaji sehem. simu ni LG G5 ilikuw na line ya voda 076672326 ambayo mpaka mda huu inapatikana ila haipokelewi inaonekana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nina Blog yangu pia inaitwa QUALITY OPPORTUNITY NEWS Nashindwa jinsi ya kutengeneza pages (mfano ukiscrow hadi mwisho kuwe na Neno next au previous kabla hujafunguwa post moja wapo mfano...
0 Reactions
3 Replies
907 Views
Napenda kutumia MB zangu kudownload movieis za nje mpya lakin kila nikifungua tu zinakuwa ni za kulipia vile. Pili sijajua app nzur ya kudownload na bila kulipia. Kwa mambo ya kawaida mengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeona kina tangazo linatembea kwenye mitandao kuwa kwa sasa zimeingia antena za tvfox yaani zenyewe zina channel free akuna kulipia hakuna kingamuzi na hakuna habari za cable wala dishi.kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu.. Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba msaada hapa jamvini kwa anayefahamu jinsi ya kurudisha files na folders kutoka kwenye external ambayo imezima ghafla
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Google is not going to drop Java for Android. Google is going to drop Android. Google announced a new operating system that they have been working on: Fuchsia. Fuchsia is an open source, real...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom