Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina pc angu aina ya hp imeniletea BOOTMGR missing, press cntrl +alt +del to restart. Lakin nimefanya hivo inarudia hivohvo. Tafadhali mwenye ufahamu anisaidie
0 Reactions
5 Replies
791 Views
grup mpya bado ya mambo ya arduino kwa wauzajii hizi products, projects zake na mengine mengi tumia na share hii link Arduino4Us Forum Kwa tuanaopenda kujifunza, kuuza na kupata taarifa na project...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SOFTWARE - COMPUTER SOFTWARE REPAIR AND MAINTANANCE
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Wakuu poleni na majukumu. Jana TV yangu ilianguka na kuonyesha mustari kwenye screen yake kama inavyoonekana. naombeni ushauri kama kioo kinapatikana pia mwenye nacho tuongee aniuzie Picha...
0 Reactions
2 Replies
753 Views
Wakuu nitapata motherboard ya Samsung Galaxy Note 3 kwa bei gani kama mtu upo na unayo unijulishe plz [emoji120]
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada wa link ya kupata app nzuri ya kueditia video Km movie Nyimbo Harusi Nk. Ile rahisi kutumia na iwe free.. Ahsanten naomba kuwasilisha ombi langu mezani. Hp...window 7
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni rahisi tu, whatsapp inahitaji iOS 4.3 kufanya kazi na iphone 3G imeishia iOS 4.2.1 tu. Unaweza kubadilisha iOS 4.2.1 kwenda iOS 4.3 au ya mbele zaidi, kwa kuinstall iFile na ku-access files...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba mtujuze mliotumia hii simu inasifika kwa camera nzuri pia uwezo wa internet.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu Naomba kujuzwa huu utaaalam process yake inakuaje na nini Faida yake na kwa laptop ambayo inasumbua program ya wireless connection na USB linakua kimepona ? Karibuni mafundi wakongwe
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kampuni ya Apple imesema kua update watakayoitoa ya ios 11 itakubali kuanzia iphone 5s kupanda juu kwasababu Apple inaachana na mfumo wa kuprosess apps kwa kutumia 32bit.
4 Reactions
22 Replies
2K Views
UPDATE: Kwa maelezo zaidi juu ya program hii tafadhili tembelea www.shulemax.co.tz au nipigie/sms/whatsapp kwa namba 0757449054 KUNA TOLEO JIPYA LA HII PROGRAM FUTATILIA HAPA...
5 Reactions
43 Replies
15K Views
habari wakuu simu yangu ilikua iko sawa,ila kwa sasa nikiiwasha haifiki kwenye Menu,inanilazmisha nitumie WI-FI nikiwasha WIFI inaniambia niingize gmail,,nikiingiza inagoma msaada tafadhali, ni...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Project zinazofanywa Vyuoni haswa kwa kada za Uhandisi (Engineering) kufanywa na wanachuo ni kuongeza uwezo wa kubuni vitu mbalimbali ambavyo vitasaidia Taifa kwa ujumla na kuongeza kasi ya Ukuaji...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nina simu Tecno W4 ambayo ilijizika ghafla ,nikapeleka kwa fundi wa software lkn haikuzaa matunda akawa kashindwa ,nikapeleka kwa fundi wa hardware akaniambia betri lake lipo full pia halina...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina laki mbili Wakuu nishaurini ninunue Sim Gan je infinix zimeshaingiia Tanzania Maana naziona kweny mtandao. Asanteni
1 Reactions
79 Replies
12K Views
Kuna njia nyingi za kuongeza like ila hii nayo kiboko. Ongeza like nyingi facebook kwa kutumia app ya dj liker hii app haipatkan playStore ili kuipata hii app itakulazimu uingie google na kuandka...
0 Reactions
19 Replies
14K Views
habari samahani samsung s4 inashida ya kukata mtandao na kuanda Inset sim card na uki listat ina kua sawa bt baada kama dakika 5 tatizo linaludi tena.nn shida
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Salama humu natumaini wazima wote nimeleta uzi huu tushauriane nakupata nawazo mapya yanayohusu Graphic & Video Pro...mimi ni mmoja ya vijana ambao nasoma kozi inayohusu mambo hayo ndo kwanza...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wakuu Anayehitaji Propeller Ads (Inadollar 49 Ndani yake) au Kama Unataka Grups za South Active zipo Nicheki kwa Bei Nafuu sana 0716 48 3005
0 Reactions
5 Replies
963 Views
Naomba niulize najua humu kuna developer wengi WA games Mimi Ni mpenzi WA unity ILA sijui c# najua c&c++ pamoja na OpenGL library naitaji kufanya modeling za game assets najiweza kwenye blender...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom