Alexander McQueen
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 186
- 41
Habari wana jf naomba msaada wa namna ya kudownlod na kuweka Windows mobile kwenye cm ya android
Labda theme tu lakini Windows kama windows ni Operating system inayojitegemea na Microsoft ndio wana hatimiliki nayo
Tujuzane inafanya kazi ganiHabari wana jf naomba msaada wa namna ya kudownlod na kuweka Windows mobile kwenye cm ya android
Mkuu kwenye Adroid phone hakuna window kuna Launcher hii ukiidanilodi ndo unaweza kuitumia utakavyo kwa kuibadilishia themes na simu kuwa na muonekano mzuri uutakao.Habari wana jf naomba msaada wa namna ya kudownlod na kuweka Windows mobile kwenye cm ya android
Inaitwaje?Mkuu kwenye Adroid phone hakuna window kuna Launcher hii ukiidanilodi ndo unaweza kuitumia utakavyo kwa kuibadilishia themes na simu kuwa na muonekano mzuri uutakao.
Mbna yangu ni android na nimeiwekea windowsLabda theme tu lakini Windows kama windows ni Operating system inayojitegemea na Microsoft ndio wana hatimiliki nayo
Simu aina gani?Habari wana jf naomba msaada wa namna ya kudownlod na kuweka Windows mobile kwenye cm ya android
Zipo nyingi nenda playstore we andika launcher utachagua ya kuweka ila tafta yakuitwa HOLLA LAUNCHER MKUU imejikamilisha wew tu ujiongeze bt kwa window phone such as nokia unaweza badili window ila nyingi znacheza na w8 na w10Inaitwaje?
Iwe kama hv?
Huawei G 620Simu aina gani?
ExactlyIwe kama hv?
windows launcher/theme au windows OS?Mbna yangu ni android na nimeiwekea windows
Hahaha Jose ur multipurpose guy vyote wajua.Labda theme tu lakini Windows kama windows ni Operating system inayojitegemea na Microsoft ndio wana hatimiliki nayo
Shukrani sana mkuu..japo sio sana najua kidogo na ndio faida ya JF nimejifunzia kupitia huku....Hahaha Jose ur multipurpose guy vyote wajua.
But kwa muuliza swali jibu nikwamba huwezi weka window OS kwa Android device kwasababu izo android device zimetengenezwa ku support Vitu vya android pekee.
Pili huwezi change OS ya simu niku upgrade tu.
Apps unazotumia kwenye simu most of them zimtengenezwa kwenye Android studio nahaiwezekani tumika kwenye OS nyingne laba developer atengeneze version ya App kwa OS husika japo kuna shortcut yakutengeneza hybrid App ambazo zinatumika kwa kila OS (but efficient yake sio kubwa, zina some limitations)
Usivoweza weka window OS kwenye computer za Apple ndo hivo hivo usivoweza weka Os ya window kwenye Android device. Kuna built in things za OS husika.
Hope umepata mwanga kidogo.