MSAADA HAPA TAFADHALI

MSAADA HAPA TAFADHALI

Jodeo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
1,286
Reaction score
1,332
Nawasalimu Jf.

Kuna tatizo naona laptop yangu inakuwa nzito sana kuliko kawaida. Namaanisha inafanya kazi kwa speed ndogo sana kuliko kawaida yake. Halafu nikiwa mtandaoni inasumbua pia.
Kwa mfano unaclick link flani, yenyewe inafungua page tofauti kabisa. Na wakati mwingine katikati ya page unaona vinatokea vi-video ambavyo hata havihusiani kabisa.

Naomba Maelezo shida ni nini hapa na inatatuliwa vipi?

Asante
 
1. ikiwa nzito nenda task manager kwa kubonyeza ctrl+alt+delete kwa pamoja, then angalia nini kimejaa.

2. hivyo vi video eka adblocker vitaisha, kueka andblocker search browser yako halafu mbele ongezea neno adblocker mfano firefox adblocker
 
tafuta adblock inasaidia kwa matangazo yasio ya lazima
 
1. ikiwa nzito nenda task manager kwa kubonyeza ctrl+alt+delete kwa pamoja, then angalia nini kimejaa.

2. hivyo vi video eka adblocker vitaisha, kueka andblocker search browser yako halafu mbele ongezea neno adblocker mfano firefox adblocker
Task manager: hiki ndo kinatokea ndugu:
01c71be8e1d299405a3197fe7a81a71e.jpg

Halafu namba mbili sijakuelewa vizuri
 
Back
Top Bottom