Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kama ilivyoada katika kuelimishana masuala ya pc gaming leo naomba nitoe somo kidogo kuhusiana na PPSSPP FOR WINDOWS 1.4.2 Kwanza tujue hii ppsspp ni nini PPSSPP hii ni emulator y psp, ambayo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuuliza iv inawezekana kuresert password za computer win 10 pasipo kuloose data zako ,na kama inawezekan softwire gan zinaweza fanikisha kuresert password???
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Wadau wa jamiiForums samahani kama kuna mwenye keys activator for idm tusaidiane maana nilikua natumia trial version sasa imeisha muda wake wanataka keys to register, so please kama kuna mwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nauliza app ya kusomea vitabu Kwa tablet Pc ambayo itanipa flavour ya kusoma kama vile nipo kwenye hardcopy nina mini pc ina run Windows 10, Nataka software ambayo ninaweza ku resume page...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
nimejaribu kwa *#7370# inadai password sina.. nisaidieni.
0 Reactions
26 Replies
24K Views
Wana jf naomben mnisaidie jinsi ya kubet katika mechi nina tumia line ya tigo
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hello guys nmekuwa nikusumbuka sana kusolve hili swali kwa calculator https://www.jamiiforums.com/threads/zawadi-ipo-kwa-ataeweza-hili-swali.1322664/page-3#post-23574378 Hatimae nililisolve bila...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu wa jf habarin za mchana Nina wazo LA kuwa na website na nimeshatafuta watu kam watatu wa kushirikiana nao hawa ni wa computer ila Nina duku duku katik upande wa mbele wa muonekano na ni...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
kwa wale wapenda game la fifa siku ya ijumaa game la fifa18 litaanza kupatikana officially katika device tofauti tofauti kama game consoles, pc, phone etc. nini maoni yako baada ya kuangalia demo...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Could any1 tell me, what kind of disease is this? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ninaomba msaada kwa yeyote anaefaham ukwel kuhusu hili je ni ukwel kuwa laptop ambazo ni refubric haiwez kuongezewa hard disk au kubadlishwa hiyo had disk? Cuz mmi nna hp envy ina ssd 32gb vpi...
0 Reactions
4 Replies
911 Views
Jaman nilikua naomba kuuliza nifanyaje ili niweze tuma link ya what's up uku jamii forum, maana nimejaribu wee silewi naona nashindwa tuu.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Akaunti yangu ya facebook leo nililog out kuingia tena inagoma wakati naingiza email yangu ileile ninayo ingilia kila siku na password yake cha ajabu inagoma maada tafadhali[emoji122]
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu Nina simu tajwa hapo juu (LG-G2. 801D inazingua kufungua Bluetooth na wifi. Yani ukifungua wi-fi inakua ON for not more than 2sec, kwaupande wa Bluetooth doesn't switch on at...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Hello Habarini za asubuhi watalaam, Ninawebsite yangu ambapo huwa nina access kwenye Cpanel ,sasa kwa muda kidogo nimekuwa natumia ku login via Client Area kwenye website ya host wangu, sasa leo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
BISMILLAAHI RAHMAAN RAHIYM Ili kufanisha hill huna budi kufuata hatua zifuatazo:- HATUA 1- Ingia kwenye CMD 2- Andika COLOR Z 3- Bofya kutazama hatua zifuatazo. USISAHAU KU SUBSCRIBE.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanini mimi ninahisi hivyo? Sababu: (1) ukiingia mtandao huo ( mitikaz.com ) unapelekwa kwenye sehemu ya kuchagua nchi, (2) lakini nchi karibia zote hazina bidhaa ya kuuzwa, kasoro Tanzania, na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kampuni ya Google kutoka Marekani imeinunua kampuni ya HTC ya Taiwan kwa $1.1 Bil. Makamu wa Rais wa kampuni hiyo upande wa hardware, Rick Osterloh amesema dili hilo lipo hatua za awali na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Baada ya kureset simu,kila ninapoiwasha inaandika hivi "Unfortunately.SetupWizard has stopped"..,msaada wakuu..
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom