msuya4real
Member
- Oct 14, 2016
- 76
- 27
Simu yangu haisapot Google play service, Ni Lenovo X2Pt5, Nimejaribu kufuata maelekezo ili niipate Ila Muda wote ni Google play service has stopped, Mwenye maujuz anisaidie
Download, ,.Downloading mabogenie, huko utapata apps zilizopo playstore
what is apk?jaribu njia hizi
-google play store installer kisha jaribu kueka kwenye simu yako
-ikishindikana manual download apk ya playstore na play service halafu zi install.
pia hizi apps zinaenda na android version kuwa makini hapa.
android packaging kit, ni container linalobeba mafile ya application ya android.what is apk?
ooh shukrani chief..nilikuwa naijua juu juu tuandroid packaging kit, ni container linalobeba mafile ya application ya android.
Application moja unakuta ina mafile hata 1000 hivyo huwezi kuanza kuyaeka moja moja itachukua muda sana, hivyo ili kurahisisha mtengeneza application anayaunganisha pamoja kama apk ili u install file moja tu.
kikawaida hata ukidownload playstore unadownload apk, ila tumeshazoea tu mtu akidownload manual anadownload apk.
Mkwawa, simu yangu haifungui u-tube ni Mi Note nifanyejejaribu njia hizi
-google play store installer kisha jaribu kueka kwenye simu yako
-ikishindikana manual download apk ya playstore na play service halafu zi install.
pia hizi apps zinaenda na android version kuwa makini hapa.
Hiyo simu bila shaka ni toleo la china (chinese version) mara nyingi hizo simu huwa hazina play store na haukuna njia yoyote ya kuweka play store zaidi ya kuroot na kuweka custom rom ndo inakubali play store vinginevyo haiwezekanijaribu njia hizi
-google play store installer kisha jaribu kueka kwenye simu yako
-ikishindikana manual download apk ya playstore na play service halafu zi install.
pia hizi apps zinaenda na android version kuwa makini hapa.
kama huyo manufacture yupo kwenye umoja wa android ya google basi unaweza ukaweka playstore kwa kupitia apk,Hiyo simu bila shaka ni toleo la china (chinese version) mara nyingi hizo simu huwa hazina play store na haukuna njia yoyote ya kuweka play store zaidi ya kuroot na kuweka custom rom ndo inakubali play store vinginevyo haiwezekani