Android applications development

Android applications development

Ze observer

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
233
Reaction score
493
Habari zenu wanazuoni.

Mimi Nina elimu mwisho kidato cha sita na ckuweza kuendelea na masomo ya elimu ya juu kwasababu ya ufaulu wangu haukua mzuri wa kidato cha sita Ila ninapenda sana kuwa developer wa android applications. Nataka nijikite sana katika utengenezaji wa applications na project zangu nyingi nataka nizitransform katika mfumo wa applications za simu. Ila changamoto niliyonayo ni kwamba, sijui pa kuanzia kwa misingi kwamba language gani nijifunze na ninaanza vipi.

Pia, Muda gani itanichukua mpaka niweze kua mbobezi wa kutengeneza applications sambamba na materials gani nisome kuweza kuelewa kutengeneza hizo apps. Kwasababu kama ni youtubes hua naona videos zake hazijakaa katika mpangilio wa kueleweka sana zaidi naona zinanichanganya.
 
tafuta soft copy ya notes ya hicho kitu unataka soma ukishasoma slide unaenda youtube kuangalia application yake alafu na ww unatest mitambo
 
Habari zenu wanazuoni.

Mimi Nina elimu mwisho kidato cha sita na ckuweza kuendelea na masomo ya elimu ya juu kwasababu ya ufaulu wangu haukua mzuri wa kidato cha sita Ila ninapenda sana kuwa developer wa android applications. Nataka nijikite sana katika utengenezaji wa applications na project zangu nyingi nataka nizitransform katika mfumo wa applications za simu. Ila changamoto niliyonayo ni kwamba, sijui pa kuanzia kwa misingi kwamba language gani nijifunze na ninaanza vipi.

Pia, Muda gani itanichukua mpaka niweze kua mbobezi wa kutengeneza applications sambamba na materials gani nisome kuweza kuelewa kutengeneza hizo apps. Kwasababu kama ni youtubes hua naona videos zake hazijakaa katika mpangilio wa kueleweka sana zaidi naona zinanichanganya.

Mkuu mimi pia niliwaikuomba huo msaada lakini sikulizika kabsa bt nimeanza kujifunza na html kwanza na bado ni beginner so subiri wakuu watakuja na utapata ufumbuzi
 
Ili uweze kuwa developer wa Android apps at least lazima uwe na knowledge ya database development (haswa relational databases) na angalau knowledge ya Java progamming, kuwa na knowledge ya hivi vitu unatakiwa kuwa na knowledge ya vitu vingine ambavyo tayari unatakiwa uwe umeshavijua,
Mfano Java programming ni OOP (object oriented programming, a frightening concept, full of complicated syntax and other roadblocks way of coding and an easy way of creating more-compact and effective code), ili uweze kujua vizur OOP angalau unatakiwa uwe unajua procedural programming languages kama C, Pascal, COBOL, BASIC nk, ambazo huwa zina syntax na mpangilio mwepesi kuuelewa (rahisi kujifunza), lakini pia huenda usizielewe hizo procedural programming languages kama hutakuwa na angalau knowledge ya basics na fundamental of computer programming languages, pia itakuwa shida kujua basics and fundamentals of computer programming language kama hutakuwa na angalau computer basics knowledge and skills, je wewe upo level ipi hapo? Namaanisha upo wapi katika hizi level
1. Computer basics
*Skills and knowledge at least you should gain
->Computer setup and maintanance
->How to use operating system
->Word processing skills
->Webs skills
->Software installation/uninstallation
->Virus scanning
2.Fundamental of computer programming

->Computer programming languages
->Best programming practices
Baada ya kuwa na at least ya hizi knowledge and skills, unatakiwa uanze kujifunza coding (programming) kwa ujumla, unaweza kujiuliza uanzie wapi na lugha gani? Kama umeelewa vizuri kwenye fundamental of computer programming, kati ya procedural programming languages na object oriented programming (OOP) utagundua kuwa procedural programming ni nyepesi kujifunza kuliko OOP, pia unaweza kujiuliza kati ya hizo procedural programming language ni ipi language rahisi kujifunza hapo itakuwa ni chaguo lako, lakini asilimia kubwa ya programmer huwa wanaanza na C programming language kwa sababu ndo lugha nyepesi kujifunza pia huwa inakupa urahisi wa kujifunza lugha za OOP kama C++ na Java maana huwa ni mwendelezo wa C programming.
Ukauliza itakuchukua mda gani kuwa mbobezi wa kutengeneza apps software, kwanza nikueleze tu kuwa kufijunza coding sio kazi sana ila kazi ipo kutengeneza code, sikukatishi tamaa bali ndivyo hali halisi ilivyo, kwa hiyo itachukua mda gani haiwezi kuwa na jibu sahihi sababu itategemeana na wewe mwenyewe how are you motivated and passionate in coding na mda uliotenga kujifunza na kufanya coding.
Wapi unaweza kupata resouces za kujifunzia, siku hizi resources na materials ya kujifunzia yako kila mahali na kila aina, ni uamuzi wako tu, ila nakushauri usome sana kwanza vitabu au lectures (kama unatumia Youtube) halafu ndo utafute hizo tutorials za kwenye Youtube, kwenye youtube mara nyingi huwa wameweka tutorials ingawa kuna lectures pia, sasa unapojifunza tutorials huwa ni kama unafanya recape za lectures ndo maana zinakuchanganya
NB: Learning coding without doing it is like getting pregnant without giving birth, hapa kila unachojifunza lazima ukifanyie kazi na uhakikishe umeweza, hapa at least unatakiwa uwe na personal project yako hii itakuonesha ni kiasi gani uelewa wako ulipofikia (don't think big and complex project, just a small and simple project for learning purpose)

Cc:
Ze observer,
AbraDaVinci
 
uchambuzi yakinifu
 
umemueleza vyema kabisa mkuu,ila kwa fom six sidhan kama hata basic ya computer anayo kama alisoma kayumba.mimi ningemshauri amtafute tutor physicaly yaan awe anamfata amuanzie from A,B,C etc. jitahidi ikiwezekana hata uwe unamlipa ili kumpa motivation ya kukupa basic knowledge,ukishapata basic now sasa ukienda youtube huko itakuwa mtelezo mkuu.
 
WAHEED SUDAY na jang embu naomba nipingane na nyie!! Ni kweli kwamba Java ni high level programming language na ni pure OOP, ila sizani na siamini kama kusoma java inahitaji mlolongo wote huo!! unaweza kusema C, pascal(which is dead) au cobol ni muhimu yes inaweza kuwa sahihi ila sio lazima!!

Hii notion ya kusema lazima usome C/C++ ndio usome Java sometimes haina uhalisia!! According to my experience kitu kunachohitajika zaidi ni PASSION na hardwork period!!

Alafu kujifunza android development sio lazima utumie Java! siku hizi kuna kotlin na ni simple tu, japo mimi ningemshauri Ze observer asome Java na kama kweli ana nia lazima atoboe!!

Mimi ningemshauri mleta mada kwanza, japo sio lazima ila asome general knowledge ya computer programming na anaweza ipata kwa kuangalia series za CS50 ambazo ziko hata youtube! awe na general knowledge ya computer pia awe na PC!

Baada ya hapo aanze kusoma taratibu java au kotlin (java is the best)!

Kuna resources nyingi za kusoma Java online, nenda youtube utazikuta zimejaa. Tafuta pdf za java soma!!
 
Mkuu kumbuka mleta mada kasema yeye kamaliza form six, na akisoma video za Youtube haelewi zinamchanganya, ndo maana nikampa kwanza wapi aanzie, nimetoa huo mlolongo nikiamini kwa level yake huenda akawa hana hizo knowledge ndo maana akijaribu kusoma haelewi, ndo maana kuna sehemu nimemuuliza yeye yupo level ipi, huwezi kutoka form six ukaanza kusoma programming bila ya kuwa na angalau hizo knowledge

Hii notion ya kusema lazima usome C/C++ ndio usome Java sometimes haina uhalisia!! According to my experience kitu kunachohitajika zaidi ni PASSION na hardwork period!!
Hakuna sehemu nimesema lazima asome C/C++ ndo asome java, mi nimempa recommendation kuwa aanze na C ambayo ni procedural na ni rahisi ndo aende kwenye OOP languages kama C++ na Java maana hizo lugha ni kama mwendelezo wa C, lakini sijamwambia lazima asome C++, labda rudia kusoma comment yangu vizuri utanielewa niliandika nini
Alafu kujifunza android development sio lazima utumie Java! siku hizi kuna kotlin na ni simple tu, japo mimi ningemshauri Ze observer asome Java na kama kweli ana nia lazima atoboe!!

Mimi ningemshauri mleta mada kwanza, japo sio lazima ila asome general knowledge ya computer programming na anaweza ipata kwa kuangalia series za CS50 ambazo ziko hata youtube! awe na general knowledge ya computer pia awe na PC!

Baada ya hapo aanze kusoma taratibu java au kotlin (java is the best)!

Kuna resources nyingi za kusoma Java online, nenda youtube utazikuta zimejaa. Tafuta pdf za java soma!!
 
Nimepata motivation kwa kweli maana nilitamani kujifunza haya mambo tangu mwakajana bt kila nilipojaribu kugusa mapdf ya mtandaoni huko niliishiwa nguvu kabisa hayo madudu nilikutana nayo huko. . hongera sana mkuu uliyeanzisha huu uzi hapa
 
Back
Top Bottom